1.1m

Higher + Deeper (Live in Dar es Salaam)

Joel Lwaga
Siku nzuri ya leo mtumishi wa Mungu Joel Lwaga anaemtumikia Mungu kwa Nyimbo za Kusifu Na Kuabudu siku ya leo amekuletea Higher + Deeper Album ikiwa katika mfumo wa Live, Album hii ya Higher + Deeper ina nyimbo 14 za kusifu na kuabudu na zote zinapatikana hapa hapa kisima cha muziki mzuri, Boomplay Music, Kuwa wa kwanza leo kumtukuza Mungu, Bofya sasa. ...