Sakata
Acha maneno weka muziki
yeah
Imba unachopenda na ukitaka kucheza
Cheza Mziki
Bambata shika kamata
Rumba sakata
Nnapokaa mchizi nshadataa nshadataa ...
yeah
Imba unachopenda na ukitaka kucheza
Cheza Mziki
Bambata shika kamata
Rumba sakata
Nnapokaa mchizi nshadataa nshadataa ...