Dr. Love
Sijui nikuite hodari
Vile umeniweza na penzi lako
Nimelewa chakari, ooh yeah
Kwangu kumewaka jua kaliii
Mwaga maji nikate kiu
Ukinipepea, ooh yeah
Nipepee ooh yeah ...
Vile umeniweza na penzi lako
Nimelewa chakari, ooh yeah
Kwangu kumewaka jua kaliii
Mwaga maji nikate kiu
Ukinipepea, ooh yeah
Nipepee ooh yeah ...