Loading...

Download
  • Genre:Afropop
  • Year of Release:2023

Lyrics

Niamini Yahabibi - Sabah Salum

...

Niamini yahabibi - taarab sabah muchacho

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

Yahabibi Yahabibiii powa mikononi

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

Yahabibi Yahabibiii powa mikononi

powa mikononi powa mikononi

powa mikononiiii

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

Yahabibi Yahaaaah powa mikononi

na uniaminii

Hofu kwangu hofu toa,Hofu kwangu hofu toa

Hofu kwangu hofu toa,Hofu kwangu hofu toa

Nikupe undani ulio moyonii,Nikupe undani ulio moyoonii

Nikupe undani ulio moyonii,Nikupe undani ulio moyoonii

Uliyo moyonii aaaaha,Uliyo moyonii aaaaha

Uliyo moyonii aaaaha,Uliyo moyonii aaaaha

Yahabibi yahabibi nimekuteua moyonii

you are heshimi you are heshimi tena wa thamanii

Yahabibi yahabibi nimekuteua moyonii

you are heshimi you are heshimi tena wa thamanii

Mwenginewe simuoni ,Mwenginewe simuoni

Ila wewe dear

Mwenginewe simuoni oooh ,Mwenginewe simuoni

Ila wewe dear

Ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa

mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani

Ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa

mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani

ooohh mmhhhhh ooohh mmhhhhh

mhhhhhhh mhhhhhhhhh

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

Yahabibi Yahabibiii Ua la haiba

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

Yahabibi Yahabibiii Ua la haiba

ua la haiba ua la haiba uwa la haibaaa

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

Yahabibi Yaaaaah Ua la haiba wangu fuakiinii

Pendo lako kwangu tiba pendo lako kwangu tibaa

Pendo lako kwangu tiba pendo lako kwangu tibaa

Nitalithamini nakupa yakini,Nitalithamini nakupa yakini

Nitalithamini nakupa yakini,Nitalithamini nakupa yakini

Nakupa yakini aaah,Nakupa yakini aaah

Nakupa yakini aaah,Nakupa yakini aaah

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

wewe zinduu nathamini

yadhaleem yadhaleem huba zako zisinikinii

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

wewe zinduu nathamini

yadhaleem yadhaleem huba zako zisinikinii

Hakika nakuthamini,Hakika nakuthamini

Hakika nakuthamini,Hakika nakuthamini

Wewe wangu dear

Hakika nakuthamini,Hakika nakuthamini

Hakika nakuthamini,Hakika nakuthamini

Wewe wangu dear

Ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa

mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani

Ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa

mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani

ooohh mmhhhhh ooohh mmhhhhh

mhhhhhhh mhhhhhhhhh

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

Yahabibi Yahabibiii mlaani shetwani

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

Yahabibi Yahabibiii mlaani shetwani

Mlaani shetwani,Mlaani shetwani

Mlaani shetwani,Mlaani shetwani

Yahabibi Yahabibi Yahabibi

mlaani shetwani asikudhalilii

tufaane duniani,tufaane duniani

tufaane duniani,tufaane duniani

Na kesho peponi,Na kesho peponi

Na kesho peponi,Na kesho peponi

Na kesho peponi aahaa,Na kesho peponi ahaaa

Na kesho peponi ahaaa,Na kesho peponi aaaahh

Yahabibi Yahabibi tulia mwangu moyoni

yaah nur lain yaah nur lain mimi wako maishani

pendo langu liamini,pendo langu liamini

pendo langu liamini mimi wako dear

pendo langu liamini,pendo langu liamini

pendo langu liamini mimi wako dear

Ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa

mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani

Ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa

mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status