Upendo Naongeza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Upendo Naongeza - B2K
...
Non:
Star big boooyy
Eeeyaaa
Mafundi wengi hawajengi mi nipo pekeyangu ndi maana nakula Raha
Hauna Mambo mengi mama we peke yako ndo unanipaga furaha
Yani aah hata usemewe ubaya(upendo naongeza) zaidi yako hata kwangu yani ni mimi na yeye(upendo naongeza)
Mmmhh we ndo huba langu siri yako naijua mie Tena kila kitu changu Raha zote unaniipa mie
Ooooh baby kwako nimesha sarenda,
Ooooh baby kila siku nitakupenda,
Ooooh baby tukikutana kwa kitanda
Ilove you ilove you
Ooooh baby mpaka nyumba tutajenga roho ziwaume wajinga ooohh Mimi nawewe tukilala
Ilove you ilove you.
Basi nmeshapendax4
Sisi ni ndege tunao fanana lakini kuachana haitotokea si kila time tupo busy tupo busy
Ulipo nipo tunafatana mamy wakome wanayoongea si lengo letu tuwaumize tuwaumize
Yani aah hata usemewe ubaya(upendo naongeza) zaidi yako hata kwangu yani ni Mimi na yeye(upendo naongeza)
Mmmhh we ndo huba langu siri yako naijua mie tena kila kitu changu raha zote unanipa mie
Ooooh baby kwako nimesha sarenda,
Ooooh baby kila siku nitakupenda,
Ooooh baby tukikutana kwa kitanda
Ilove you ilove you
Ooooh baby mpaka nyumba tutajenga roho ziwaume wajinga ooohh mimi na wewe tukilala
Ilove you ilove you
Basi nimesha pendax4.....