Lawama II Lyrics
- Genre:Genge
- Year of Release:2021
Lyrics
Lawama II - Rekles
...
(lawama ni gani lawama ni gwan kaa ukona kisilani enda upewe hang lawama ni gani lawama ni gwan mh nasaka monday sitaki lawama)*2 msichezangi chini mh hucheza juu, n nyola hadharani siendi ruu n kauoni binti mpeleke zoo juu nitaacha kama nimefanya kazi huwezi ni full
niaje ofisa sahi niko mashash lakini kila sunday nahakikisha niko church niaje ofisa sahi mh sina cash lakini nikituma aki anani sitareverse
kasijaendelea juwa ni ass wamekaza ayaaya *2
( lawama gani lamawa ni gwan kaa ukona kisilani enda upewe hang*2 mh nasaka monda sitaki lawama )*2
unataka kubonga cheki joo unabonga sana shut the f**k up kaa uniambii unalipa gpi , na umevalia nani joo kinyasha unayap yap joo miaka gpi bure kabisa unabonga unabonga sana we na ni bure na unaaibisha wanjanja unakaa kaswara afta kazi sort y mshahara nilipe rent ama ninunuwe madawa cheki mh rent nitakopa juu fom ishatoka siezi piga whiskey buda bila muguka brabra unanijudge umeokoKashut the f**k up kajitupe juu y gorofa
( lawama ni gani lawama ni gwan kaa ukona kisilani enda upewe hang *2 mh naska manda sitaki lawama)*2
Mpesa bila pesa ni ya nni joo ( sijui sijui ata anaifanyia nni ) nitakupe loan aje bana mh pia ni maskini bro (ata chwani chwani broh wacha izo )mh niko baya ata sina hata bob hukulangi huenda kufanya nini kwa choo asenali bure juzi wakanichomea bet cjawahi regret kumaliza stress na keg
bulalif**kin ukiniita meeting usijaribu kuniweka parking(parking)*3juu tym is money naubongi biashara heri nikaye n mic nyumbani
(lawama ni gani lawama ni gwan kaa ukona kisilani enda upewe hang*2mh naska manda sitaki lawama)*2
( na umevalia nani joo kinyasa unayap yap jamaa n miaka gapi gapi gapi