Namwachia Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Namwachia - Maua Sama
...
Maua sama _ Namwachia
Ooh yeeeh iiiiii
Yogo on the beats
(Verse 1)
Yangu furaha imegeuka majuto...
Kicheko kimegeuka kilio..
Ilaaaaa....
mi naamini wema hauozii
Umenipa mazito mi naumiaa....
Mi nilijua utanifuta machozi,
umenipa majonzi mi naliaaa...
(Pre -chorus )
Zangu hisia nilishindwa kufichaa,
Wazi wazi ukatambua ...ndonga ukanpasua...
Wangu rafikiii....,
wote uliowajua na nguo ukawavua,
Pasipo mi kujuaaa.....
Wacha nikae pembeni eeh....
(Chorus )
Namwachia mungu tu
Labda kuna mahali nilikosea
Namwachia mungu tu
Kesi yako kwake nakushtakia
Namwachia mungu tu
Maana umezidi kunionea
Namwachia mungu tu
Aaah aaah
(Verse 2)
Nilikupa muda na vyote vilivyo vyangu
Ila malipo ya yote kunitukanisha na ndugu zangu...
Kweli ....
mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi
Nimelijua sawa moyo wangu umeuchakaza
Umeudumula mpaka gunzi, wema umenilipa ubaya
Sitoshinda hata tukionana
kuachana sio uwasama,
sintothubutu kuzozana nimekunawa..
nakuombea heri salama
upate yule mtakae wezana..
kumbuka kufunga zipu bwana msije kwazana
(Pre -chorus )
Zangu hisia nilishindwa kufichaa,
Wazi wazi ukatambua ...ndonga ukanpasua...
Wangu rafikiii...,
wote uliowajua na nguo ukawavua,
Pasipo mi kujuaaa.....
Wacha nikae pembeni eeh....
(Chorus )
Namwachia mungu tu
Labda kuna mahali nilikosea
Namwachia mungu tu
Kesi yako kwake nakushtakia
Namwachia mungu tu
Maana umezidi kunionea
Namwachia mungu tu
Aaah aaah
...............